BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    250 views
    Mwigizaji wa Uingereza Idris Elba ameiambia BBC kwamba atahamia Afrika ndani ya muongo mmoja ujao, ikiwa ni sehemu ya mipango yake ya kusaidia tasnia ya filamu barani humo. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 52, ana mpango wa kujenga studio ya filamu katika visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania, na studio nyingine katika mji mkuu wa Ghana, Accra. "Nitapenda kuishi Accra, nitaishi Freetown Sierra Leone, nitaishi Zanzibar. Nitajaribu kwenda kule wanakosimulia hadithi, hilo ni muhimu sana." #bbcswahili #filamu #hadithi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw