BBCSwahili yawafikia jamii ya TikTok

  • | BBC Swahili
    24 views
    Mitandao ya kijamii ni moja kati ya njia mpya inayotumika na vyombo vya habari katika kuwafikia maelfu ya hadhira mpya, kwa kufahamu hilo idhaa ya kiswahili ya BBC imefanikiwa kufungua ukurasa wa mtandao wa kijamii wa TikTok ikiwa ni sehemu ya kufikia hadhira mpya ya vijana. - Mwanahabari wetu Elizabeth Kazibure, alifanya mahojiano na mhariri mkuu wa idhaa ya Kiswahili Athuman Mtulya kutaka kujua nini haswa cha kutarajia kwenye ukurasa huu mpya wa BBC Swahili #bbcswahili #tiktok #tiktokkenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw