Beatrice Askul na Dorcas Agik Oduor wapigwa msasa kama watakuwa waziri na mwanasheria mkuu

  • | NTV Video
    137 views

    Beatrice Askul na Dorcas Agik Oduor wamepigwa msasa leo mbele ya kamati ya bunge ya uteuzi, kuona iwapo wanatosha kushikilia afisi ya waziri wa masuala ya Afrika mashariki na maeneo kame pamoja na afisi ya mwanasheria mkuu mtawalia.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya