Biashara I Bandari ya samaki ya Shimoni kukamilika mwezi Machi

  • | KBC Video
    36 views

    Bandari ya samaki ya Shimoni itakamilika mwezi Machi mwaka huu. Naibu rais Prof. Kithure Kindiki amesema kuwa bandari hiyo ya thamani ya shilingi bilioni-2.6 inajumuisha gati la kisasa, eneo la kuweka samaki, ghala litakalokuwa na kiwanda cha utayarishaji samaki, jokofu na kiwanda cha kutayarisha barafu, kiwanda cha utayarishaji nyama ya samaki na vifaa vingine. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa zetu za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive