"Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa miaka 21"

  • | BBC Swahili
    3,602 views
    Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa chama hicho unalenga kulinda heshima ya kisiasa ya Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe. Amesema hayo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC Sammy Awami Kwa urefu zaidi fuatilia vipindi vya BBC katika radio, runinga na yanakujia hivi punde kupitia ukurasa huu huu wa YouTube wa BBCSwahili. 🎥: Eagan Salla, Frank Mavura na Nicholaus Mtenga #bbcswahili #tanzania #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw