Biashara I Bei ya bidhaa muhimu vikiwemo vyakula imeongezeka

  • | KBC Video
    32 views

    Mfumko wa bei za bidhaa ulipanda kwa kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miezi mitano mwezi huu kufikia asilimia 3.5 kutoka asilimia 3.3 mwezi Januari. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya hivi punde ya shirika la kitaifa la takwimu. Kupanda huko kulichochewa na ongezeko la bei ya vyakula, ikiwa ni pamoja na sukari, mafuta ya kupikia pamoja na bidhaa na huduma nyingine muhimu

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive