Biashara I Gachagua ahimiza viwanda vya majani chai kupunguza gharama ya uzalishaji

  • | KBC Video
    146 views

    Wakulima wa mashamba madogomadogo ya majani chai katika eneo la magharibi mwa Rift Valley hawafai kung’oa mimea yao ila wanafaa kusubiri marekebisho yatakayotekelezwa na serikali ambayo yataimarisha mapato yao. Naibu rais Rigathi Gachagua amevihimiza viwanda vya majani chai vitafute mbinu za kupunguza gharama ya uzalishaji na kuimarisha mapato. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa zetu za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive