Biashara I Kampuni ya MOGO yatozwa faini ya shilling million 11kwa kuwapotosha wateja

  • | KBC Video
    8 views

    Kampuni ya kufadhili ununuzi wa mali ya MOGO, imetozwa faini ya shilling million 11, na halmashauri ya kudhibiti ushindani humu nchini.Kampuni hiyo imeshutumiwa kwa kuwapotosha maksudi wateja wake kuchukua mikopo ghali ya sarafu ya dola.Kampuni hiyo hivyo basi imeagizwa kuwarejeshea wateja wake watatu takriban shilingi elfu-345,pesa za ziada walitozwa kwenye salio la mikopo yao.Kwa habari hizo na nyingine ni katika kapu letu la biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive