Biashara I Kiwanda cha kushughulikia bidhaa za mpunga chafunguliwa Nyatike

  • | KBC Video
    24 views

    Kiwanda cha kutumia bidhaa zinazotokana na mpunga kama vile maganda kutengeneza mbolea ya kiasili na matofali kitajengwa katika mpango wa unyunyizaji mashamba maji wa Lower Kuja huko Migori. Kiwanda hicho kitatengeneza mbolea ya kiasili ili kurutubisha udongo na kuongeza uzalishaji wa mpunga pamoja na kutengeneza nafasi za ajira. Taarifa kamili ni kwenye kapu letu la biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive