Biashara I Mapato ya Benki ya Absa yaimarika kwa asilimia 16

  • | KBC Video
    11 views

    Benki ya Absa Kenya imenakili faida baada ya kutozwa ushuru wa shilingi bilioni 14.7 wakati wa kipindi cha miezi mitatu ya mwaka huu kilichomalizika tarehe 30 mwezi septemba, hii ikiwa ni kuimarika kwa faida yake kwa asilimia 20 ikilinganishwa na kipindi sawia mwaka uliopita. Benki hiyo imesema faida hiyo kubwa imetokana na utekelezaji kikamilifu wa mikakati yake. Kwa habari hizi na nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive