Biashara I Serikali yahimizwa kukodisha ardhi isiyotumika kwa wawekezaji

  • | KBC Video
    30 views

    Wadau katika sekta ya kibinafsi kwenye sekta ya kilimo wametoa wito kwa serikali kukodisha ardhi isiyotumika ya ekari laki-9 kwa wawekezaji wa kibinafsi kwa ajili ya uzalishaji chakula nchini. Waziri wa kilimo Andrew Karanja amesema serikali itatumia ushirikiano uliopo kati ya sekta ya umma na ile ya kibinafsi katika juhudi za kustawisha sekta ya kilimo, akiongeza kwamba mashauriano kuhusu ukodishaji ardhi pamoja na sera nyingine muhimu zitakazotoa mwongozo unaofaa katika sekta ya kilimo yataanza hivi karibuni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive