Biashara I Serikali yatafakari kuzindua mfumo wa kidijitali wa kuidhinisha usafiri

  • | KBC Video
    37 views

    Serikali inatafakari kuzindua mfumo wa kidijitali wa kuidhinisha usafiri katika muda wa saa 72 ambapo ikiwa utaidhinishwa utaruhusu wasafiri kutalii wakiwa safarini. Hatua hii itakuwa sehemu ya mkakati wa ushirikiano kati ya bodi ya utalii na wizara ya uhamiaji kwa madhumuni ya kufahirisha usafiri na kupiga jeki sekta ya utalii humu nchini. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive