Biashara I Vyakula vya kiasili vyapigiwa upatu

  • | KBC Video
    7 views

    Ipo haja ya kujumuisha vyakula vya kiasili kwenye mfumo wa chakula humu nchini ili kulikomboa taifa kutoka utegemezi wa vyakula kutoka nje. Mshauri wa Shirikisho la kimataifa kuhusu lishe bora Laura Wekesa amesema vyakula vya kiasili vitachangia kupunguza gharama ya uagizaji chakula kutoka nje. Kwa taarifa hii na nyingine hiki hapa kitengo cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive