Biashara I Wakulima wa ngano kuanza kuuza mazao kesho

  • | KBC Video
    123 views

    Vyama vya akiba na mikopo vimehimizwa kutenga fedha zinazotumika kulipa mgao wa hisa kubuni hazina itakayowanusuru wateja kutokana na hasara isiyotarajiwa. Kamishna wa ustawi wa ushirika, David Obonyo pia anahimiza usimamizi bora wa vyama vya ushirika ili kudumisha uendelevu. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive