Billy Yuko Wapi? Wakazi Wa Embu Waandamana Kutaka Billy Mwangi Aachiliwe

  • | TV 47
    89 views

    Billy Yuko Wapi? Wakazi Wa Embu Waandamana Kutaka Billy Mwangi Aachiliwe

    Wakazi wa Embu wamefanya maandamano wakitaka kuachiliwa kwa Billy Mwangi aliyetekwa nyara na watu wasiojulikana siku ya jumamosi wiki iliyopita.

    Wakazi hao wametoa makataa ya saa 24 kwa maafisa wa usalama kufanya hima na kumrejesha kijana huyo.

    #UpeoWaTV47 #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __