Bima ya Afya SHIF kuzinduliwa Chini ya SHA na kuchukua nafasi ya NHIF

  • | TV 47
    12 views

    Miaka 58 baadaye, na Jumanne serikali itazindua mfumo mpya katika Sekta ya afya. Yote haya ikiwa ni mabadiliko, mabadiliko haya yatakuwa ni kuondolewa kwa bima ya afya ya NHIF, na kuzinduliwa kwa bima ya afya ya jamii, SHIF, itakayo kuwa chini ya mamlaka ya afya kwa jamii, SHA. Mpango huu mpya wa bima ukisifiwa kuwa utabadili utoaji huduma za afya.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __