Bingwa wa Olimpiki Emmanuel Wanyonyi asema yuko tayari kushiriki Mbio za Nyika Eldoret

  • | NTV Video
    20 views

    Bingwa wa Olimpiki wa mita 800 Emmanuel Wanyonyi amesema ako tayari kabisa kushiriki kwenye mashindano ya kitaifa ya mbio za nyika yatakayofanyika jijini Eldoret mnamo Februari 8 mwaka huu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya