Bingwa wa riadha nchini Rose Muya atuzwa kuwa balozi wa amani ulimwenguni

  • | Citizen TV
    157 views

    Muya ambaye pia ni katibu mkuu wa riadha ya wakongwe nchini alikuwa miongoni mwa wanawake saba wa kenya ambao wamepokea tuzo hiyo ya heshima kutoka shirika la kimataifa lenye makao yake mjini seoul korea kusini. Rose ametambulika kupitia shirika lake linalokuza wanariadha chipukizi na kuhubiri amani miongoni mwa jamii mbalimbali nchini.