Je kwa nini konokono hawa wadogo wamepelekwa katika kisiwa cha mbali?

  • | BBC Swahili
    409 views
    Konokono 1329 walio katika hatari kubwa ya kutoweka, waliokuwa wakifugwa katika mbuga ya wanyama ya Chester nchini Uingereza wameachiliwa kwenye kisiwa cha mbali cha Atlantiki. Konokono hawa wadogo wanaweza kujaza kisiwa hiko cha mbali polepole Tazama #bbcswahili #uingereza #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw