Bodi ya elimu ya juu nchini, CUE yasema digrii aliyopewa Oscar Sudi na wabunge wengine ni feki

  • | Citizen TV
    10,021 views

    Huenda wabunge kadhaa waliopewa digrii ya hadhi hivi majuzi wakatolewa hadhi hiyo baada ya tume ya elimu ya juu nchini kujitenga na chuo kikuu cha North Western University hapa nchini. Aidha, tume hii sasa ikisema kuwa vyeti vinavyotoka chuo hiki hazitambuliki na digrii hizo za punde hazina maana. Brenda Wanga anaarifu huku bodi ya wahandisi nchini ikitaka chuo hicho kuondoa hadhi ya uhandisi iliyomkabidhi mbunge wa Kapseret Oscar Sudi