Bola Tinubu atangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Nigeria

  • | VOA Swahili
    226 views
    Bola Tinubu wa chama kinacho tawala cha All Progressive Congess ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa Urais Nigeria huku wagombea wengine wawili katika kinyang'anyiro cha urais wakitaka upigaji kura huo kurudiwa. Ungana na mwandishi wetu akikuletea matokeo hayo.... #bolatinubu #voaswahili #voa #dunianileo #allprogressivecongress #chamatawala #upinzani #wagombea #nigeria - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.