Bunduki 20 zasalimishwa kwenye operesheni Bonde la Ufa

  • | Citizen TV
    5,398 views

    Bunduki 20 zimerejeshwa katika kaunti za Samburu na Turkana huku operesheni dhidi ya wavamizi wanaohusika na wizi wa mifugo iking'oa nanga katika maeneo yanayokabiliwa na uhalifu huo kwenye bondo la Ufa. Wakati huo huo, idara ya upelelezi DCI ilimhoji mbunge wa Pokot kusini David Pkosing kwa mara ya nne kuhusu madai ya kufadhili uvamizi na wizi wa mifugo katika kaunti ya Pokot.