Bunge la seneti kuandaa kikao maalumu kesho kusikiliza mapendekezo ya kumngatua Kawira Mwangaza

  • | KBC Video
    127 views

    Bunge la seneti linatarajiwa kukutana kesho kwa kikao maalum ambapo watakuwawakisikiliza mapendekezo ya kumngatua gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza afisini. Aidha watakuwa na kikao cah kumuidhinisha ama kutomuidhinisha Douglas Kanja aliyependekezwa kuwa inspecta jenerali wa polisi. Mwanahabari wetu Ben Chumba anatujuza kuhusiana na shughuli za siku mbili za kubaini hatma ya gavana huyo ambaye atakuwa akifika mbele ya bunge hilo kwa mara ya tatu kujitetea dhidi ya kubanduliwa kwake na bunge la kaunti ya Meru.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive