Bunge laidhinisha bajeti ya ziada ya mwaka 2024/25

  • | KBC Video
    13 views

    Sekta ya maji na usafi wa mazingira imepoteza zaidi ya shilingi bilioni 19 ambazo zimeelekezwa kwa mipango mingine ya serikali kwenye makadirio ya bajeti ya ziada ya mwaka wa kifedha wa 2024/25 yaliyoidhinishwa na bunge la kitaifa. Sekta ya kawi pia ni miongoni mwa zile ambazo bajeti yao imepunguzwa kwa shilingi bilioni 6.8. Bunge limeidhinisha ongezeko la jumla la zaidi ya shilingi bilioni 113 katika bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2024/25.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive