CCTV yanasa maafisa wa polisi wakiteka nyara Benard Kavuli baada ya kukosoa serikali ya Ruto

  • | Citizen TV
    9,112 views

    Kijana mwingine bado anatafutwa na familia yake mtaani Ngong, siku mbili baada ya kutekwa nyara. Familia ya Benard Kavuli inasema kuwa mwana wao alitekwa nyara kwa madai ya kuikashifu serikali kwenye mitandao ya kijamii. Benard anakuwa kijana wa tatu na wa punde kuripotiwa kutekwa nyara kwa madai ya kuikosoa serikali mitandaoni, Kama Gatete Njoroge anavyotuarifu