Chama cha mabawabu wa kibinafsi chaitaka serikali kukomesha visa vya unyanyasaji

  • | KBC Video
    24 views

    Chama cha walinzi wa kibinafsi kinaitaka serikali kulainisha sekta hiyo na kuweka mikakati itakayokomesha kuhujumiwa kwa mabawabu. Katibu mkuu wa chama hicho Isaac Andabwa pia amewahimiza mabawabu kuungana na kushiriki katika juhudi za kutetea haki na maslahi yao. Andabwa alisema hayo alipomtembelea mlinzi mmoja wa kibinafsi Meshack Mogaka anayedaiwa kudhulumiwa na mwajiri wake mwezi uliopita.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive