Chama cha ODM kinayataka mashirika ya usalama kuwakamata wafuasi wa mwaniaji mmoja wa uchaguzi mdogo waKasipul kwa madai ya kuvuruga mkutano wa amani ulioandaliwa na mwaniaji wa chama hicho, Boyd Were. Chama hicho pia kinaitaka tume ya uchaguzi, IEBC kuhakikisa upo usawa kwenye kinyang’anyiro hicho. Kwingineko, vyama vidogo vya kisiasa vimebuni muungano wa ushirikiano huku vikipinga kile vinachotaja kuwa juhudi za kuvilemaza na kuvisambaratish
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News