Chama cha ODM chawataka walioteuliwa kuwa mawaziri kujiuzulu

  • | KBC Video
    436 views

    Chama cha Wiper kinachoongozwa na Kalonzo Musyoka pamoja na baadhi ya vyama tanzu vya muungano wa Azimio vimejitenga na msimamo uliochukuliwa na chama cha ODM wa kujiunga na serikali. Akidai kwamba hawajapata mwaliko wowote kutoka kwa rais, Kalonzo alisema kuwa wale wa upinzani waliojiunga na serikali ni wasaliti na wamefanya hivyo bila idhini ya muungano huo. Matamshi hayo yametolewa huku Raila Odinga akijitenga na viongozi hao wanne wakuu wa chama chake cha ODM waliopendekezwa kuhudumu kwenye baraza la mawaziri licha ya kuwatakia kila la heri katika majukumu hayo mapya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive