- 421 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
CHANGAMOTO ZA UKUSANYAJI KODI KATIKA NCHI ZA AFRIKA MSHARIKI
- 4 Jul 2024 - Defence Cabinet Secretary Aden Duale now claims that the ‘Ruto must go!’ slogan that recently dominated chants during the anti-government demonstrations was not coined by Gen Z protesters.
- 4 Jul 2024 - An attack blamed on jihadists in central Mali killed more than 20 civilians on Monday, two local officials said, in the latest killings in the troubled Sahel region.
- 4 Jul 2024 - Defence CS Aden Duale has shed light on the selection of President William Ruto's daughter, June Ruto, as a student of the National Defence College (NDC).
- 4 Jul 2024 - According to the directorate, Mr Basweti was cleared on Wednesday after surrendering himself to the Kenyenya DCI offices and recording a statement.
- 4 Jul 2024 - Former National Social Security Fund (NSSF) manager Francis Moturi will serve a 14-year jail term or pay a fine of Ksh.2.6 billion for defrauding the pension fund of Ksh.1.2 billion over a decade ago.
- 4 Jul 2024 - Deputy President Rigathi Gachagua has come out to plead with youthful Gen Z protesters to call off the ongoing demonstrations, agonizing over how violence and destructive the protests have become.
- 4 Jul 2024 - A business owner in Mombasa is counting losses that amount to approximately Ksh.18 million after his premises were attacked by goons Tuesday.
- 4 Jul 2024 - The Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) has refuted claims by Nairobi Senator Edwin Sifuna that former Migori Governor Okoth Obado’s graft case was withdrawn after an out-of-court settlement with the State agency.
- » Anti-Gov’t protests: Safaricom donates Ksh.15M to KNH, victims to receive Ksh.5M for rent and food3 Jul 2024 - Telco giant Safaricom has donated Ksh.15 million to the Kenyatta National Hospital (KNH) to support individuals injured during the recent anti-government protests receiving treatment at the facility.
- 3 Jul 2024 - The National Elders Council has expressed its support for the ongoing Gen Z-led protests in the country, while faulting the government for failing to meet the needs of its citizens.