Vijana na wanawake wanaojishughulisha na ufugaji wa samaki nchini Tanzania wameitaka serikali kushughulikia changamoto zinazowakumba wafugaji hao ikiwemo changamoto ya upatikanaji wa raslimali watu na miundombinu ya kutosha hali inayopelekea kuwepo kwa uzalishaji duni wa mazao ya samaki. Hata hivyo serikali imeanza kuchukua hatua za kuhamasisha uwekezaji katika viwanda vya uzalishaji wa chakula cha samaki ndani ya nchi ili kupunguza gharama na kuongeza tija. Sikiliza ripoti hii iliyoandaliwa na Mwandishi wa VOA, Dar es Salaam Amri Ramadhani.
#ufugajisamaki #wanawake #vijana #changamoto #tanzania #bagamoyo #voa #voaswahili
20 Apr 2025
- A 3-year-old boy was found dead in Wich-Lum area, Siaya County on Saturday evening. The toddler is suspected to have been murdered by his father following a domestic squabble.
20 Apr 2025
- At least 11 people, including three children, were killed in New Delhi Saturday after a residential building collapsed on the outskirts of the Indian capital, local reports and authorities said.
20 Apr 2025
- The US Supreme Court, in a dramatic nighttime intervention Saturday, blocked President Donald Trump's unprecedented use of an obscure law to deport Venezuelan migrants without due process.
20 Apr 2025
- Pope Francis is expected to delight Catholics all over the world during Easter celebrations at the Vatican on Sunday, just weeks after he was fighting for his life in hospital while suffering from pneumonia.
20 Apr 2025
- Global tax plans targeting billionaires and multinational companies are running aground, with the United States torpedoing reforms under President Donald Trump.