- 4,264 viewsDuration: 2:59Cheche za siasa za ODM zilisheheni kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya chama hicho huko Mombasa. Vigogo wa odm wakionekana kuwasuta wale wanaodaiwa kuzua mjadala hapo jana kuhusu iwapo ODM itasalia kwenye serikali ya muungano na UDA au la