Chifu "misheveve" astaafu

  • | Citizen TV
    6,826 views

    Sherehe ya kustaafu kwa Chifu mcheshi Protus Wechuli, maarufu kwa jina la "Misheveve", imeandaliwa hii leo katika eneo bunge la Saboti, Kaunti ya Trans Nzoia. Alipewa Jina hilo la utani, Misheveve, kutokana na hadithi aliyopenda kusimulia kuhusu mama aliyeuawa na mwanawe baada ya kutofautiana kuhusu aina ya mboga ambayo angepika kama kitoweo.