Chifu mnyakuzi?

  • | NTV Video
    350 views

    Kwa mwaka mmoja sasa masomo katika shule ya Chepkurkur ECDE Center iliyoko eneo bunge la Mlima Elgon katika kaunti ya Bungoma yameathirika baada ya shamba la shule hiyo kunyakuliwa na Naibu Chifu wa eneo hilo. Hali hiyo imesababisha watoto wengi kukosa masomo na kubaki nyumbani.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya