Chuo cha mafunzo ya kiufundi kujengwa Gatundu

  • | KBC Video
    27 views

    Baadhi ya vijana katika eneo bunge la Gatundu Kaskazini kaunti ya Kiambu wanatarajia kunufaika kutokana na uzinduzi wa chuo cha mafunzo ya anuwai ili kupata ujuzi wa kuanzisha shughuli za kuwapa tija na kukabiliana na tatizo la uhaba wa ajira.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive