Skip to main content
Skip to main content

Chuo cha Utafiti na Mafunzo ya Wanyamapori chatoa mafunzo ya uhifadhi wa wanyamapori

  • | Citizen TV
    134 views
    Duration: 1:45
    Chuo cha Utafiti na Mafunzo ya Wanyamapori (WRTI) kilichoko mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi, kimepokea ufadhili wa vifaa vya kisasa vya utafiti vyenye thamani ya shilingi milioni 6.