Chuo Kikuu cha Nairobi chapata suluhu ya kuangamiza magugu sugu

  • | Citizen TV
    1,289 views

    Baada majaribio ya miaka miwili hatimaye Chuo Kikuu cha Nairobi kimefanikiwa kupata suluhu ya kuangamiza kabisa magugu sugu baada ya kuvumbua mbinu bora ya Kukata magugu hayo. Majaribio hayo ambayo yalikuwa yakifanywa katika shamba moja eneo la Imaroro Kajiado Mashariki yalifaulu na kuibua matumaini ya kumaliza kabisa magugu sugu.