Kumbukumbu za wakazi wa kijiji cha Kamucira na majirani zao karibu na mji wa Mai Mahiu

  • | K24 Video
    184 views

    Ni miezi minane tangu zaidi ya watu 60 kupoteza maisha yao katika mafuriko mabaya katika kijiji cha Kamucira, eneo la Mai Mahiu, kaunti ya Nakuru. Janga hili liliathiri maisha ya mamia ya wakazi, na kuwafanya kuwa wakimbizi katika ardhi yao. Wengi wanaendelea kuishi katika makazi ya muda huku wakijitahidi kupona majeraha ya mwili na hisia. usiku wa leo. Simulizi kilichotokea usiku huo na jinsi wakazi wanavyokusanya vipande vya maisha yao chini ya bonde.