Wakenya Wahimizwa Kuwajali Wazee

  • | TV 47
    16 views

    Wakenya Wahimizwa Kuwajali Wazee

    Wakenya wametakiwa kuwatunza wazazi wao wanapoingia uzeeni.

    Wazee hawa wanakabiliwa na changamoto za maisha kama ukosefu wa makazi, chakula, mavazi, na huduma za afya. Mwanzilishi wa Nunga Home of The Elderly, Joyce Nungali, alitoa wito siku ya krismasi.

    #TV47Wikendi #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __