Viongozi wa Afrika waliouawa baada ya kupinduliwa Afrika

  • | BBC Swahili
    1,095 views
    Kama yalivyo maeneo mengine ya dunia, bara la Afrika halijasalimika na mapinduzi ya kiraia na kijeshi. Lakini wakati mwingine mapinduzi haya, hupelekea mauaji ya wanaopinduliwa. Hapa tunaangazia baadhi ya marais watano waliouawa barani Afrika, baada ya serikali zao kuzindiwa. #bbcswahili #uongozi #mapinduzi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw