COP29: Mashirika yalalamika dhidi ya msimamo wa mataifa tajiri

  • | Citizen TV
    136 views

    Ni Siku Ya 10 Ya Majadiliano Kwenye Kongamano La Umoja Wa Mataifa Kuhusu Mabadiliko Ya Tabia Nchi Na Viongozi Wakuu Wa Un Wanazidi Kuyapa Mataifa Changamoto Ya Kufanya Maamuzi Yenye Faida Kwa Ulimwengu. Aidha Wenyekiti Wa Wajumbe Wa Bara Afrika, G77 Na China Wanatarajiwa Kutoa Taarifa Kwa Wanahabari Leo Jioni Kuhusu Hali Ilivyo Kufikia Sasa.