Wachimbaji-migodi wawili wafariki katika harakati za kutafuta dhahabu chimboni Turkana Magharibi

  • | NTV Video
    265 views

    Wachimbaji-migodi wawili wamefariki katika harakati za kutafuta dhahabu chimboni Naduat Turkana Magharibi. Mmoja aliyenusurika kifo akikatwa mkono wakati waokoaji walipoona juhudi za kuondoa mwamba uliokuwa umemlalia, ungesababisha hasara zaidi. Shirika la Red Cross na Idara ya Usalama inahofia kuwa wachimbaji dhahabu wengine wamekwama chimboni, kwa hivyo, shughuli za uokoaji zinaendelea. Huyu hapa Labaan Shabaan na taarifa hii kwa kina.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya