Idadi ya watu waliopoteza maisha wakati wa maandamano yaongezeka hadi 62.

  • | K24 Video
    128 views

    Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na polisi kutumia nguvu kupita kiasi wakati wa maandamano yaliyoongozwa na Gen Z imeongezeka hadi 62. Hii ni baada ya kennedy maina wakini, ambaye alijeruhiwa na risasi, kufariki baada ya miezi mitano akitafuta matibabu. hili linajiri wakati kuna ongezeko la visa vya utekaji nyara na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa usalama.