Kaunti ya Embu kuiweka mbuga ya wanyama ya Mwea kama kitovu kikuu cha utalii nchini

  • | NTV Video
    248 views

    Serikali ya kaunti ya Embu kupitia idara ya utalii, imezindua mpango kabambe wa kufufua na kuiweka mbuga ya wanyama ya Mwea kama kitovu kikuu cha utalii nchini.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya