Skip to main content
Skip to main content

COTU yapinga mpango wa kufutwa kazi sekta ya sukari

  • | KTN News
    115 views
    Duration: 2:16
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Muungano wa wafanyakazi nchini COTU umekataa mwaliko wa Wizara ya Leba wa kushiriki mkutano uliolenga kutoa maamuzi ya kuwafuta kazi wafanyakazi katika kampuni za sukari za umma. Barua iliyowasilishwa kwa kampuni hizo imeonyesha kuwa mpango huo ni sehemu ya juhudi za serikali kuipa sekta ya sukari muonekano mpya. Hata hivyo, Katibu Mkuu wa COTU Francis Atwoli amekashifu wizara hiyo kwa kudai imetelekeza jukumu lake kuu la kubuni nafasi za ajira kwa Wakenya, na badala yake kusimamia mpango wa kuondoa ajira. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews