DCI wanachunguza mauaji eneo la Elburgon

  • | Citizen TV
    1,659 views

    Maafisa wa upelelezi wa mauaji kutoka DCI wamekita kambi katika mji wa Elburgon kuchunguza mauaji ya mwanaharakati Richard Otieno aliyeuwawa Jumamosi usiku