Deni la Tanzania ni himilivu

  • | BBC Swahili
    71 views
    ’Kwa mwaka wa 2024 deni letu la taifa la takriban shillingi trilioni 100, lipo katika uwiano wa takriban asilimia 44% ikilinganishwa na ukomo wa asilimia 55%unaokubalika kimataifa’’ - Gavana wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba amekiri kuwa deni la taifa hilo linazidi kukua ila bado lipo chini ya ukomo wa uwiano wa deni la taifa na pato la taifa unaokubalika kimataifa wa asilimia 55%. - ‘’Deni letu ni himilifu kwa muda mfupi wa kati na mrefu na lipo ndani ya viwango vinavyokubalika kimataifa.’’ - Kauli hiyo imetolewa na wakati wa mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Florian Kaijage. - - - #tanzania #uchumi #bbcswahili #denilataifa #BoT Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw