Dereva wa matatu Mweu Mulwa ashinda Ksh.2M za Shabiki.com

  • | Citizen TV
    504 views

    Mweu Mulwa, dereva wa matatu mtaani Huruma, ameanza mwaka wa 2025 kwa baraka kubwa baada ya kushinda shilingi milioni mbili kupitia mchezo wa Shabiki Aviator. Mulwa anasema Januari si "njaanuary" tena, huku akilenga kuwekeza na kukimu familia yake.