13 Oct 2025 1:12 pm | Citizen TV 2,581 views Duration: 1:29 Dereva wa Mbunge wa Kibra, Peter Orero, George Oduor ameamriwa kulipa faini ya Shillingi elfu 100,000 baada ya kukiri kosa la kuyapita magari mengine kinyume cha sheria.