Dhiki ya wanafunzi Tiaty

  • | Citizen TV
    245 views

    Na sasa tuelekee Kaunti ya Baringo, ambapo changamoto za miundombinu zinazokumba shule nyingi zinatishia juhudi za kufanikisha masomo. Kaunti ndogo ya Tiaty ni mojawapo ya maeneo yaliyoathirika zaidi, huku wanafunzi katika shule nyingi wakilazimika kusomea chini ya miti kutokana na uhaba wa madarasa, nao walimu wao pia wakitumia ofisi za muda zisizokuwa na vifaa vyovyote. Serfine Achieng Ouma anaangazia hali yao na changamoto zinazowakumba