Dira ya Kaunti: Utoaji vitambulisho kabla ya uchunguzi watetewa

  • | KBC Video
    51 views

    Wizara ya usalama wa kitaifa imesema wakenya katika siku zijazo watapokea mara moja vitambulisho wakishafikia umri wa miaka 18 kuambatana na deta ambayo serikali itakuwa imekusanya tangu kuzaliwa. Huku akitetea kuondolewa kwa uchunguzi wa wanaotuma maombi ya vitambulisho kutoka kaskazini ya Kenya, waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen alisema mbinu hiyo mpya inayojumuisha ukusanyaji wa deta tangu kuzaliwa inanuiwa kushughulikia suala la usalama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive